Video iliyovuja:Rihana kumbe aliyakata maono na kivazi chake baada ya Red Carpet

Wengi wamempachika jina la bad girl Rihana kumbe baada ya kuingia na katika Red carpet pale CFDAs na kavazi ambacho kilimshangaza kila mtu hata wasanii wenzake kutokana na kuonekana nusu uchi mbele ya kadamnasi.


Kumbe kituko icho hakikuendelea hapo tu.


Baada ya kutoka katika red carpet Rihana alionekana mwenye furaha na kufanya kituko kingine bale alipoanza kuyakata maono ya nguvu huku kila mtu aliyekuwepo eneo lile alimshangilia kwa nguvu zote,i;ikuwa kama ishara ya kuonyesha furaha yake tu.

Angalia Video yenyewe hapa chini.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment