Mwanafunzi wa chuo kikuu Dar akutwa amekefa chumbani


Mwanafunzi mmoja wa Kike wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam leo mchana muda wa saa nane amekutwa amefariki akiwa amelala kitandani chumba cha hostel.

Tukio hilo limetokea baada ya kuwaaga wenzake kuwa anakwenda kupumzika baada ya kuchoshwa na masomo ,muda mfupi ulipita na akakutwa chumbani akiwa tayari ameshafariki.
Pichani ni baadhi ya wafanyakazi wa ambulance wakiutoa mwili wa marehemu tayari kwa kwenda kuhifadhiwa
RIP

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Story ya Mkinga,Mchaga na Mchina Hotelini

Wafanya biashara wa3 Mkinga, Mchaga na Mchina.
Wakiwa kwenye mgahawa fulani town. Wakati wanakula nzi akatua kwa mkinga, mkinga akamfukuza, akaenda kutua kwa mchaga nae akamfukuza.
Akaenda kutua kwa mchina kwenye pua yule mchina akamtime baada ya muda akamkamata na kumuweka mdomoni na kumtafuna,
Mkinga na mchaga waliona wakachuna tu. Mara ya pili akaja mwingine akatua kwa mkinga, akamfukuza tena. Akatua kwa mchaga, akamuangaliia yule nzi akamdaka na kumgeukia mchina na kwumwambia, "shilling ngapi aisee nikuuzie?"

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Hasara ya Mbunge Mchelewaji Kanisani

Bahati mbaya, mbunge
alichelewa kufika .... Mc
akamwomba padri aseme
machache wakati wanamsubiri mheshimiwa mbunge....
Padri hakujipanga kusema kitu lakini kwa kujitahidi,
aliongea:.
"Wapendwa, naikumbuka sana siku nilipofika katika kanisa hili kwa mara
yakwanza, ila nilipata mshangao siku nilipoanza kuungamisha.
Mtu wa kwanza kabisa
kumuungamisha alinishangaza sana."
Akameza mate kisha akaendelea,
"Mtu huyo alipokuja kuungama alisema amemwibia bosi wakeTV, amemwibia ndugu yake
pesa za urithi, akiwa shuleni
aliwahi kukojoa kitandani
akamsingizia mwenzie, amezini na mke wa jirani yake, na pia alimlazimisha house girl wake kufanya nae mapenzi.
Nikapata picha kuwa kumbe watu wa
kanisa hili ndivyo walivyo,
nikasikitika sana.....
Lakini baadae nikakuta kumbe watu wa hapa ni wazuri sana na hawatendi dhambi mara kwa mara.
Yule muumini wa kwanza
aliyekuja kutubu alitaka
kunifanya niwafikirie vibaya
kumbe nyie ni watu wema. Yule alikua na dhambi zake
mwenyewe..."
Wakati Padri akiongea hayo
mara Mheshimiwa Mbunge
akawasili, Padri akakatisha
maongezi na mbunge akaanza kuhutubia.
Akaanza kwa kusema:-
"Ndugu wapendwa, naomba mniwie radhi kwa kuchelewa kwani nilikuwa na majukumu makubwa
ya kiserikali....
Kisha akaendelea...
"Pia ninayo furaha kubwa kwa kunipa nafasi hii kuhutubia kwa niaba yenu.
Mimi nina bahati sana kwani Padri huyu alipokuja hapa, mimi ndiye nilikuwa muumini wa kwanza kabisa kwenda kutubu kwake..."
Kanisa zima vicheko...!!
Tunajifunza nini!?:
Tujifunze kuwahi kwenye matukio kwani huwezi kujua umuhimu wa
lililokupita.!...

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Name n Fame

NAME N FAME


SOON AFTER LISTEN THE TRACK PLEASE WRITE YOUR COMMENT
YOUR ADVICE TO US IS VERY IMPORTANT...


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Ujio wa vijana wapya

Blog yetu kwa sasa inataka zaidi kujikita katika kuinua vipaji vya watu ambao bado hawajakuwa kimuzi yaani kupata jina ama(umaarufu) hivyo wapenzi wa blog yetu tunaomba muwape support kwa kutowa maoni na nini wafanye ili kukuza vipaji vyao...





  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS